Top Tags

Featured News

Upcoming Events

  • TANGAZO
    TANGAZO

    Tangazo tangazo: Kilimanjaro School of Pharmacy kinapenda kuutarifu umma kwamba, kumekuwepo na tabia ya baadhi ya watu kutumia jina la chuo chetu kwenye matangazo yao, hivyo basi uongozi unawatahadharisha wananchi na wateja wetu wote hasa kwenye kipindi hiki cha udahili kuwa hakuna chuo chochote nchi hii chenye jina hilo isipokuwa hiki, chuo chetu kipo mkoa wa Kilimanjaro manispaa ya Moshi ndani ya hospitali ya rufaa ya kanda KCMC, kwa mawasiliano zaidi piga namba hii:0746551560/0746551560 epuka matapeli

KSP News